Mkutano Mkuu pamoja...
Mkutano Mkuu pamoja na Uchaguzi wa Viongozi ya Jumuiya ya Watumia Maji Mto Zigi Chini (WUA-JUWAMAZICHI)
09 Jan, 2026 1:30AM-10:30PM Ukumbi wa Amboni uliopo Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Tanga
Mkutano Mkuu pamoja na Uchaguzi wa Viongozi ya Jumuiya ya Watumia Maji Mto Zigi Chini (WUA-JUWAMAZICHI)

Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Watumia Maji Zigi Chini (WUA-JUWAMAZICHI) unataraji kufanyika tarehe 14/1/2026 katika Ukumbi ya Amboni uliopo katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Tanga ambapo watumia maji kwa maana ya wanachama na wadau watapata nafasi ya kuwachagua viongozi wa Jumuiya hiyo watakaodumu madarakani kwa kipindi cha Miaka mitatu (3).

Mgeni rasmi atakuwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Tanga ambapo Mkutano huo utawashirikisha Viongozi wa Kata, Vijiji, Tarafa, Wataalamu kutoka Halmashauri za Wilaya Mkinga, Tanga Jiji, Bonde la Pangani, Wadau wakubwa wanatumia maji kutoka kwenye vyanzo vya maji Mto Zigi wakiwemo TANGAUWSA, MeTL, KT LINK Limited, Mamlaka ya Bandari ya Tanga, Marine Park, TFS na Wadau mbalimbali wanaojihusisha na Uhifadhi wa Mazingira ya vyanzo vya maji Mkoa Tanga.