Dira na Dhima

DIRA

Kuwa Bonde bora Afrika linalotekeleza Usimamizi endelevu wa Rasilimali za maji na kutoa fursa na faida sawia za Maji kwa Jamii iliyopo kwenye Bonde

DHAMIRA

Kuzisimamia Rasilimali za Maji kwa kuziwezesha kutumika kwa ufanisi na kuwa endelevu kwa kuzingatia misingi ya ushirikishwaji wa Wadau na Utawala Bora