Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Tathmini ya Rasilimali za Maji Tathmini ya Rasilimali za Maji katika Bonde la Pangani hufanyika kupitia takwimu za Rasimali za Maji ambazo hukusanywa katika vituo 205 vya ufuatiliaji wa mwenendo wa maji. Vituo hivyo ni 11 vya Maji Chini ya Ardhi, vituo 54 vya mtoni, vituo 6 vya mabwawa, 42 vya...
Andika barua kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Pangani kupitia kwa Mwenyekiti wa Kijiji/ unaohusika. Barua itaje jina la chanzo, mahali kilipo, madhumuni ya kuomba kibali cha kutumia maji, kiasi cha maji kinachohitajika na wanufaika walioko karibu na chanzo hicho. Kama eneo analot...
Mtaa wa Jamhuri