Salamu za Pongezi kw...
Salamu za Pongezi kwa Waheshimiwa Waziri na Naibu Waziri wa Maji
21 Nov, 2025
Salamu za Pongezi kwa Waheshimiwa Waziri na Naibu Waziri wa Maji

Salamu za Pongezi kwa Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) kwa kuteuliwa na Mhe. Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan, kuwa Waziri wa Maji pamoja na Naibu Waziri wa Maji, Mhe.Mhandisi Kundo Mathew (Mb).

''UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI NI JUKUMU LETU SOTE''