HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA TAREHE 6 - 10 OKTOBA 2025.
07 Oct, 2025

Katika kuadhimisha Wiki ya huduma kwa Wateja, Tarehe 6-10 Oktoba 2025, Bodi Menejimenti na Watumishi wa Bonde la Pangani tunawatakia Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.