TAHADHARI KUELEKEA M...
TAHADHARI KUELEKEA MVUA ZA EL NINO
09 Sep, 2026
TAHADHARI KUELEKEA MVUA ZA EL NINO

Bodi ya Maji Bonde la Pangani imepokea maelekezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusiana na tahadhari za Mvua za El Nino zinazotarajiwa kuanza kunyesha kuanzia mwezi Septemba. 2026.
Bodi ya Maii Bonde la Pangani imeshaanza kuchukua tahadhari ikiwemo Udabuaji wa Mito na kuimarisha kingo za Mito pamoja na kutoa elimu kwa Wananchi. Bodi inaendelea kutoa tahadhari kwa Wananchi wote kuhakikisha wanakaa nje ya mita 60 ya vyanzo vya maji vikiwemo Mito, Mabwawa, Maziwa na Chemchem).

slot gacor