Usimamizi wa Tathmini Uwezo wa Visima
Usimamizi wa  Tathmini Uwezo wa Visima

Bodi ya maji ya Bonde la Pangani inatoa huduma ya Usimamizi wa kutambua uwezo wa kisima/Wingi wa maji katika visima baada ya zoezi la uchimbaji kukamilika, tunatoa huduma hii kwa Kampuni,Taasisi za umma, Taasisi zisizo za kiserikali na kwa mtu yeyote anayehitaji huduma hii.

slot gacor