Mkurugenzi wa Bonde
Ndg. Segule A. Segule
Mkurugenzi wa Bonde
Wasifu

Karibu

Mpendwa mteja wetu

Unakaribishwa sana kwenye Tovuti ya ‘Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani’. Tovuti hii inatumika kama kiolesura cha kawaida ambapo wateja wetu wapendwa wanaweza kupata uelewa wa Bonde na utendaji kazi wake, kupata huduma/bidhaa zetu... Soma zaidi

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Tathmini ya Rasilimali za Maji Tathmini ya Rasilimali za Maji katika Bonde la Pangani hufanyika kupitia takwimu za Rasimali za Maji ambazo hukusanywa katika vituo 205 vya ufuatiliaji wa mwenendo wa maji. Vituo hivyo ni 11 vya Maji Chini ya Ardhi, vituo 54 vya mtoni, vituo 6 vya mabwawa, 42 vya...
Andika barua kwa Afisa wa Maji Bonde la Pangani kupitia kwa Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa unaohusika. Barua itaje jina la chanzo, mahali kilipo, madhumuni ya kuomba kibali cha kutumia maji, kiasi cha maji kinachohitajika na wanufaika walioko karibu na chanzo hicho. Kama eneo analotoka mwomb...
Mtaa wa Jamhuri